• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Ukerewe District Council
Ukerewe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
        • Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
        • Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Maji
    • Uvuvi
    • Kilimo na Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Ongoing Projects
    • Miradi Iliyo kamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Sheria Ndogondogo za Halmashauri
    • Fomu za Maombi
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa kwa Umma
    • Video

Msingi

 IJUE IDARA YA ELIMU MSINGI –UKEREWE

Idara ya Elimu Msingi ni miongoni mwa Idara 13 katika Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe.

Idara hii ndiyo yenye jukumu kubwa la kuhakikisha  wanafunzi,watoto wenye mahitaji maalumu na watu wazima katika jamii ya Ukerewe wanapata Elimu iliyo bora kwa kizazi kilichopo na kijacho, kwani Elimu ndiyo Ufuguo wa maisha kwa jamii inayopenda maendeleo.

Idara hii inaundwa na vitengo vya Taaluma,Vifaa na takwimu na Elimu ya watu wazima ikishirikiana kwa karibu  sana na kitengo cha TSD na  Udhibiti Ubora wa Elimu.

SHUGHULI MBALI MBALI ZINAZOFANYIKA NA IDARA HII

Kusimamia utekelezaji wa sera ya Elimu na mafunzo ,sheria na Kanuni zinazoongoza elimu ya awali na msingi.

Kutoa ushauri wa kitaaluma kuhusu utoaji wa Elimu ya awali na msingi kwa mkurugenzi Halimashauri.

Kuratibu upanuzi wa elimu katika ngazi ya elimu ya Awali,EWW ,Vituo vya ufundi standi na elimu maalumu.

Kuhakikisha kwamba shule zote zinainua ubora wa mazingira ya kufundishia na kujifunzia katika Halmashauri ya Wilaya.

Kukusanya,kuratibu na kuchambua takwimu za Elimu katika Halmashauri kwa ajili ya mipango ya maendeleo katika ngazi ya shule,Halmashauri,Mkoa na Taifa.

Kusimamia shughuli za maendeleo ya taaluma Wilayani.

Kufatilia utekelezaji taarifa za wadhibiti ubora wa shule na kuishauri Halmashauri mbinu za kuinua taaluma ,Michezo na ubora wa Elimu

 Kusimamia Udhibiti wa nidhamu ,Wajibu,haki na huduma za walimu na wanafunzi .Kwa kesi za walimu wanashirikiana na TSD.

MALENGO YA IDARA YA ELIMU MSINGI

  • Kuhakikisha kila Mwanafunzi anayehitimu darasa la saba anajua kusoma,kuandika na kuhesabu
  • Wanafunzi wote wanaohitimu darasa la saba wanafaulu mitihani yao.
  • Kuhamasisha wanafunzi waliomaliza darasa la saba kujiunge na Vituo vya ufundi.
  • Kuanzisha na kuedeleza Vituo shikizi/Sitiri kwa wanafunzi wa darasa la awali ,la kwanza na la pili wanajua KKK .
  • Kuhakikisha wanafunzi wote wafanya mazoezi ,majaribio,na Mitihani ya kutosha ili kuongeza ufaulu wa kiwalaya ,kimkoa na kitaifa.
  • Kuhakikisha wanafunzi wenye mahitaji maalum wanapata haki yao ya msingi ya kupata Elimu.

Matangazo

  • MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021 BWENI NA KUTWA December 18, 2020
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA April 10, 2020
  • TANGAZO LA USAILI NA ORODHA WALIOITWA USAILI October 13, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA December 08, 2020
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • DKT. GWAJIMA FUATENI MAADILI YA SEKTA YA AFYA

    January 13, 2021
  • UKEREWE KUNUFAIKA NA AJIRA ZA WALIMU

    January 08, 2021
  • MADIWANI WALA YAMINI TAYARI KUWATUMIKIA WANANCHI

    December 04, 2020
  • 78 WAHITIMU MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA

    November 09, 2020
  • Angalia Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI UKEREWE
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Jiwe linalocheza Wilayani Ukerewe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Necta

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki @ 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe. Haki zote zimehifadhiwa