• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Ukerewe District Council
Ukerewe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
        • Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
        • Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Maji
    • Uvuvi
    • Kilimo na Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Ongoing Projects
    • Miradi Iliyo kamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Sheria Ndogondogo za Halmashauri
    • Fomu za Maombi
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa kwa Umma
    • Video

Maji

 SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA NA IDARA YA MAJI



1.0 UTANGULIZI

Wilaya ya Ukerewe ina jumla ya wakazi 345,147 (Sensa 2012), kati ya hao wananchi 209,498 wanafikiwa na huduma ya maji safi katika wilaya, ambayo ni sawa na asilimia 58  kwa vijijini na Nansio mjini ni asilimia 70.

   2.0  MIRADI YA MAJI INAYOTEKELEZWA  KWA SASA.

Halmashauri kwa sasa inaendelea na utekelezaji wa mradi mkubwa wa maji vijijini unaojulikana kwa jina la "Mradi wa Maji Kanzilankanda" na unatekelezwa katika vijiji 13 ambavyo ni: Igalla, Bwasa, Lutare, Kigara, Hamuyebe, Busunda, Namagondo, Buhima,Malegea Mahande, Kazilankanda, Namasabo na Muhula.Mradi huu unatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Julai 2017.

Pia Halmashauri inatarajia kuweka katika mpango wake wa bajeti zijazo kufua na kukarabati miradi 7 ya zamani ambayo haifanyi kazi ambayo ni   Bugorola, Bukindo, Bwisya, Bukonyo, Gallu, Muriti na Irugwa katika mwaka wa fedha 2018/2019 na 2019/2020.Kukamilika kwa utekelezaji wa miradi hii kutaongeza idadi ya wakazi wanaopata huduma ya maji safi kufikia asilimia 90% kwa upande wa vijijini.Na kukamilika kwa mradi wa maji Nansio katika vijiji vya Nansio, Kagera, Nkilizya, Nakatunguru, Kakerege, Bukongo, Nebuye,Nantare Hamkoko,Bulamba na Malegea kutaongeza upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kufikia asilimia 100%.

Hii itapelekea jumla ya wananchi wanaopata maji safi na salama katika wilaya ya Ukerewe kiujumla kufikia 95%  ifikapo 2020.

 

3.0 DHAMIRA YETU.

Ni kuhakikisha mpaka kufikia mwaka 2020 wakazi wote wa wilaya ya ukerewe wanapata huduma ya maji safi na salama.

          

Tenki la maji la Lutare la ujazo wa lita 680000.                                        Wananchi wakichota maji mojawapo ya visima vya mradi wa HESAWA



Kazi ya uchimbaji mitaro kwa ajili ya kulaza bomba ikiendelea



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 20, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA UKEREWE July 23, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WAKUSANYA MAPATO July 27, 2022
  • TAARIFA YA UTOAJI WA MIKOPO YA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU ROBO YA NNE August 03, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • " UMOJA NA USHIRIKIANO NDIO NGUZO YA MAFANIKIO ." -SHEREMBI

    June 28, 2025
  • MASHIRIKI YASIYO YA KISERIKALI YAMEASWA KUFANYA KAZI KWA KUFUATA MISINGI INAYOFAA

    June 27, 2025
  • BILIONI 39 KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA KATA YA BUKINDO

    June 25, 2025
  • " TUDUMISHE AMANI YETU." - DC NGUBIAGAI

    June 24, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI UKEREWE
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • https://www.moe.go.tz/sw/article/tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-ya-ualimu-ngazi-ya-astashahada-ya-ualimu-elimu-ya-awali-msingi-na-stashahada-ya-ualimu-elimu-sekondari-sayansi-miaka-mitatu-kwa-mwaka-wa-masomo-20222023
  • Jiwe linalocheza Wilayani Ukerewe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Necta

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.