A: Leseni ya Biashara
Hiki ni kibali maalum cha Serikali kinachotolewa kwa mfanyabiashara yeyote anapotaka kufanya biashara hapa nchini. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 – Kifungu cha 3(a) kimeweka bayana kuwa, Kibali hicho maalumu kinaitwa Leseni ya Biashara. Kwa hiyo basi, kufanya biashara yoyote bila kuwa na kibali hiki ni kosa la jinai.
Ili Mwombaji Apate Leseni Ya Biashara Anapaswa Kumbatanisha Nyaraka Zifuatazo:
Utaratibu Wa Kupewa Leseni:
Jaza fomu ya maombi ya Leseni (TFN 211 ya 2004) ... Pakua fomu ya maombi hapa...
· Ambatisha nyaraka kama ilivyoainishwa hapo juu kwa ajili ya ukaguzi (assessment) na kujulishwa kiasi cha ada cha kulipia;
· Kwa biashara za Kundi A, malipo yafanyike kupitia Benki ya NMB mahali popote kwa kutumia Akaunti Namba 31410001044; Jina Revenue Collection Own Source
· Wasilisha nakala ya malipo ya benki “Bank pay in slip” ili kupata risiti halali ya Serikali.
B: Leseni za Vileo
...soma hapa...
Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.