• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Ukerewe District Council
Ukerewe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
        • Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
        • Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Utamaduni ,sanaa na michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Maji
    • Uvuvi
    • Kilimo na Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Ongoing Projects
    • Miradi Iliyo kamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Sheria Ndogondogo za Halmashauri
    • Fomu za Maombi
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa kwa Umma
    • Video

" TUMEWAPOKEA AJIRA MPYA WETU KWA 100% - MKURUGENZI MBUA

Posted on: January 29th, 2026

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Ndugu Vincent Augustino Mbua ametoa taarifa ya mapokezi ya watumishi ajira mpya 2026 kuwa tayari wamepokelewa wote kwa 100%.

Akizungumza wakati wa baraza la madiwani kujadili mapendekezo ya mpango na bajeti ya Halmashauri hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Mkurugenzi Mbua amesema Halmashauri yake ilipangiwa jumla ya watumishi ajira mpya 152 wa kada mbalimbali (afya 108, elimu 25 na Kada nyingine 19 ) ikiwa ni utekelezaji wa miongoni mwa ahadi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 madarakani baada ya kushinda uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29,2025.

Ameongeza kuwa hadi kufikia jana Januari 28,2026 jumla ya watumishi ajira mpya 152 walikuwa wamesharipoti kazini na kufanya zoezi la mapokezi kufikia 100%.

" Kwa niaba menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe natoa shukrani za dhati kwa serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wetu Mhe.Samia Suluhu Hassan .Kabla ya ujio wa watumishi hawa tulikuwa na upungufu wa 67%.Ujio wao unakwenda kupunguza changamoto hiyo na kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma mbalimbali ndani ya Ukerewe."

Nae Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mhe.Ramadhan Salum Mazige amepongeza serikali kwa kuikumbuka Ukerewe kwa kuleta ajira mpya hao huku akiwasihi wananchi kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita .

Suzana Mtaki ni mkazi wa kata ya Nkilizya yeye anasema anafuraha kubwa sana kusikia idadi hiyo ya watumishi wapya huku akiiomba Halmashauri kuboresha mazingira ya kiutumishi ili watumishi wadumu,wasitamani kwenda kwingine.


Matangazo

  • NAMNA YA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA KUPITIA MFUMO WA TAUSI September 17, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JKT- UKEREWE January 22, 2026
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • TIMU YA MENEJIMENTI YAKAGUA MIRADI

    February 03, 2026
  • DC NGUBIAGAI AWAASA WANANCHI KUTUMIA NJIA HALALI KUTAFUTA HAKI

    February 02, 2026
  • " BARAZA LA MADIWANI NI KIOO CHA UONGOZI KWA WANANCHI " - DC NGUBIAGAI

    January 28, 2026
  • " TUMEWAPOKEA AJIRA MPYA WETU KWA 100% - MKURUGENZI MBUA

    January 29, 2026
  • Angalia Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI UKEREWE
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • https://www.moe.go.tz/sw/article/tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-ya-ualimu-ngazi-ya-astashahada-ya-ualimu-elimu-ya-awali-msingi-na-stashahada-ya-ualimu-elimu-sekondari-sayansi-miaka-mitatu-kwa-mwaka-wa-masomo-20222023
  • Jiwe linalocheza Wilayani Ukerewe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Necta

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.