Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Cde.Christopher Ngubiagai akikabidhi mwenge wa uhuru kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe.Amina Makilagi uliohitimisha vyema mbio zake ndani ya Ukerewe kwa miradi yake yote iliyotembelewa na mwenge wa uhuru 2025 kukubalika kwa viwango vya ubora.
Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.