Katibu tawala wa Wilaya ya Ukerewe ndugu Alan Augustine Mhina akiambatana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo ameongoza ziara ya ukaguzi miradi ya maendeleo .
Takriban miradi 8 mbalimbali ikiwemo ya elimu,afya, miundo mbinu ya barabara, maji, nishati safi imetembelewa.
Kauli mbiu ya mwenge wa uhuru kwa mwaka huu 2025 ;
" JITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 KWA AMANI NA UTULIVU ."
Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.