• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Ukerewe District Council
Ukerewe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
        • Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
        • Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Maji
    • Uvuvi
    • Kilimo na Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Ongoing Projects
    • Miradi Iliyo kamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Sheria Ndogondogo za Halmashauri
    • Fomu za Maombi
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa kwa Umma
    • Video

Wanawake Ukerewe wahamasishana kuwa chachu ya maendeleo kiuchumi

Posted on: March 8th, 2017

Wanawake Ukerewe wahamasishana kuwa chachu ya maendeleo kiuchumi

Kauli Mbiu, “Tanzania ya viwanda wanawake ni msingi wa mabadiliko kiuchumi”

Wanawake Wilayani Ukerewe wamehamasishwa kuwa chachu ya maendeleo ya Uchumi wa viwanda kwani wana nafasi sawa kama wanaume hivyo wanatakiwa kujishughulisha kwa kuanzisha umoja ambapo wataweza kupata mikopo na kuweza kufanya mabadiliko kwa kuanzisha miradi yenye tija kwa familia zao na taifa kwa ujumla. Ameayasema hayo Winnifrida Gerati katinu wa UWT-Ukerewe katika maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyofanyika wilayani Ukerewe.

Wanawake wilaya Ukerewe wameadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kufanya maandamano kuanzia ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Ukerewe na kuelekea Hospitali ya Wilaya na Magereza.

Wanawake hao wakiongozwa na katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (W) na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Ukerewe pamoja Asasi mbalimbali zisizo za kiserikali wamewezesha na kufanikisha adhma ya kwenda katika Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe ambapo waliweza kugawa zawadi muhimu kwa matumizi ya wagonjwa wawapo wodini Kama vile sabuni na mafuta ya kujipaka. Nae Matroni wa Hospitali mama Rutagarama amewapongeza kwa kuadhimisha siku hiyo kubwa ya wanawake duniani kwa kwenda kuwaona wagonjwa na kuwatia moyo. Nae Daktari Sundi Kamuli amewapongeza wanawake wenzake kwa kuonyesha moyo wa upendo kwa wenzao na kuwasihi matendo hayo yasishie siku za sherehe hizi tu bali hata siku za kawaida.

Pia Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya ukerewe Song’ora Nyango aliwasindikiza wanawake katika kuadhimisha siku hiyo kwa kuwajulia hali wagonjwa walio lazwa katika wodi mbali mbali kama vile wodi ya wazazi, wodi ya wanawake na wodi ya Mama Ngojea. Rosemary Masunu ni mmoja wa wagonjwa walio pata zawadi za wanawake na amefurahishwa kwa moyo wa upendo na ushikamano ulioonyeshwa na wanawake wenzake na amewasihi kuendelea kua na moyo huo huo.

Katika kuadhimisha siku ya wanawake duniani wanawake pia wamewatembelea wafungwa walipo gereza la wilaya na kuwatia moyo kwa kuwapa zawadi mbalimbali kwa matumizi yao ya kila siku, nao kwa furaha hawakusita kuwapongeza wanawake kwa moyo wa ushujaa na kuwatambua kuwa wao pia bado ni sehemu ya jamii ijapokua gereza hilo halina wanawake lakini wamewatembelea. Sp. Oswald Johson Bankobeza amepokea zawadi hizo na kuwashukuru kwa moyo wakipekee walionao wanawake wa Ukerewe.

Katika kufanikisha siku hiyo kubwa muhimu wanawake wamesindikizwa Asasi mbalimbali kama ULAO, HUNAU CBO, LVC na PO. EMEDO wamehimizwa kujihusisha na shughuli mbali mbali za kiuchumi na ujasiriamali kwani wao ndio chachu ya maendeleo katika jamii Wamehamasishwa kujiendeleza kielimu kwani ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 20, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA UKEREWE July 23, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WAKUSANYA MAPATO July 27, 2022
  • TAARIFA YA UTOAJI WA MIKOPO YA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU ROBO YA NNE August 03, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa salama wakabidhiwa salama wilaya ya ILemela .

    July 16, 2023
  • Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Col. Deniss F. Mwila atia saini Mkataba wa utekelezaji wa Afua za Lishe utakaotekelezwa wilaya ya Ukerewe.

    October 28, 2022
  • MAKUBALIANO YA UJENZI WA KIWANDA KIDOGO CHA BARAFU WILAYA YA UKEREWE

    October 09, 2022
  • UZINDUZI WA VITABU VYA MAELEKEZO YA JINSI YA KUBORESHA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI WILAYA YA UKEREWE.

    September 08, 2022
  • Angalia Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI UKEREWE
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • https://www.moe.go.tz/sw/article/tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-ya-ualimu-ngazi-ya-astashahada-ya-ualimu-elimu-ya-awali-msingi-na-stashahada-ya-ualimu-elimu-sekondari-sayansi-miaka-mitatu-kwa-mwaka-wa-masomo-20222023
  • Jiwe linalocheza Wilayani Ukerewe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Necta

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.