• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Ukerewe District Council
Ukerewe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
        • Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
        • Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Utamaduni ,sanaa na michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Maji
    • Uvuvi
    • Kilimo na Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Ongoing Projects
    • Miradi Iliyo kamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Sheria Ndogondogo za Halmashauri
    • Fomu za Maombi
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa kwa Umma
    • Video

MABULA AFANYA ZIARA YA KIKAZI UKEREWE

Posted on: July 28th, 2017

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amefanya ziara ya kikazi Wilayani Ukerewe kwa lengo la kukagua utendaji kazi wa Idara ya Ardhi Halmashauri na kuzungumza na watumishi. Ambapo alipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Estominh Chang’ah na kupokea taarifa ya Wilaya ambapo alielezwa kuwepo kwa changamoto ya ubovu wa injini ya kivuko cha abiria kinachobeba abiria kutoka eneo la Bugorola kuelekea kisiwa cha Ukara.

Katika hatua nyingine akipokea taarifa ya idara ya ardhi Naibu Waziri Angelina Mabula aliwataka idara iongeza nguvu katika shughuli zao za kila siku kwani hali ilivyo ya ukuaji wa mji na idadi ya watu inapanda kila siku, hivyo amewataka kuhakikisha upimaji wa ardhi unaendana na ukuaji wa mji na idadi ya watu ili kupunguza migogoro ya ardhi.

Mabula amewataka watumishi wa idara hiyo kuwa waadilifu na kufanya kazi kama inavyopaswa na alisikitishwa kutokuwepo na matumizi ya Mfumo wa ukusanyaji malipo ya ardhi wakati mafunzo yalikwisha tolewa.

Mabula ameagiza Elia Mtakama ambaye anakaimu Ukuu wa Idara ya Ardhi na misitu kusimama mara moja nafasi yake ya Afisa Ardhi Mteule wa Wilaya kwani hajaridhishwa na utendaji wake. “kuanzia sasa Mkurugenzi Mtendaji Wilaya Afisa Ardhi mteule Elia Mtakama hatakuwa tena mteule hivyo atafutwe afisa ardhi mwininge mwenye vigezo apewe kazi hiyo” alisema Mabula.

 Mabula amesisitiza masijala ya ardhi iboreshwe na nyaraka zote zilizopo zinatakiwa zifanyie kazi kuwahudumia wananchi na kuwaondolea usumbufu.

Matangazo

  • NAMNA YA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA KUPITIA MFUMO WA TAUSI September 17, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JKT- UKEREWE January 22, 2026
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • DC NGUBIAGAI ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA MILIONI 9O6.9

    January 19, 2026
  • MFUMO WA SIS KUONGEZA UFANISI SHULENI

    January 14, 2026
  • WANAFUNZI WASIZUILIWE KUJIUNGA NA SHULE KWA KUKOSA MAHITAJI

    January 08, 2026
  • UKEREWE DC YAZIDI KUJIDHATITI UTUNZAJI WA MAZINGIRA

    January 06, 2026
  • Angalia Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI UKEREWE
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • https://www.moe.go.tz/sw/article/tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-ya-ualimu-ngazi-ya-astashahada-ya-ualimu-elimu-ya-awali-msingi-na-stashahada-ya-ualimu-elimu-sekondari-sayansi-miaka-mitatu-kwa-mwaka-wa-masomo-20222023
  • Jiwe linalocheza Wilayani Ukerewe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Necta

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.