Mkurugenzi wa kiwanda cha Samaki Tanzania Fish Processors (TPF) Bw. Vedagil Na meneja wa mradi Bw. Rajalam ,Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya Mh. Manumbu na Mkurugenzi wa wilaya Bw. Emanuel L. Sherembi wakitia saini ya makataba wa wa ujenzi wa kiwanda kidogo cha barafu kijiji cha Bugolola kata ya Murutunguru .Kiwanda chenye uwezo wa kuzalisha Tani 15 mpaka 20 kwa siku.
Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.