• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Ukerewe District Council
Ukerewe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
        • Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
        • Ustawi wa Jamii
      • Maji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Maji
    • Uvuvi
    • Kilimo na Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Ongoing Projects
    • Miradi Iliyo kamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Sheria Ndogondogo za Halmashauri
    • Fomu za Maombi
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa kwa Umma
    • Video

RC Mongella amewataka wadau kushirikiana kuboresha elimu Wilayani Ukerewe.

Posted on: May 10th, 2017


Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amefanya ziara ya Siku tano (5) Wilayani Ukerewe kwa dhumuni la kukagua shughuli za Halmashauri na  miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa. Ili kuhakikisha sekta ya elimu inakua na mabadiliko ambayo yataleta ufaulu na mazingira mazuri ya wanafunzi kujifunza. Katika kuhakikisha hayo Mongella amefanya kikao na wadau wa elimu Wilayani Ukerewe ambapo amewaweka pamoja walimu wa kuu na wakuu wa shule zote, wenyeviti wa bodi za shule, maafisa elimu kata, maafisa tarafa, watendaji, wadau wa taasisi zisizo za kiserikali na wataalamu wa elimu ngazi ya mkoa katika ukumbi mkubwa wa mikutano wa Halmashauri.


Mongella amewaasa walimu kuwa na nidhamu ya kazi na uadilifu kwani wao ndio chanzo cha kuwa na maendeleo kielimu pia wawe mfano wa kuigwa. “bodi za shule ziwajibike na zisaidiane na uongozi wa shule kudhibiti nidhamu za watoto mashuleni” alisema Mongella. Amepiga marufuku kuunda tume kwa mwalimu atakae mpa mimba mwanafunzi na kesi za aina hiyo zisiwe za muda mrefu.

Amaewataka kuwepo na usimamizi madhubuti wa fedha za elimu bila malipo kwa shule zote za msingi na sekondari na fedha za serikali hizo zitumike kwa kufuata sheria, kanuni, taratibu na miongozo na kuahidi kuleta timu yakukagua fedha hizo na namna zilivyotumika na zinavyotumika na amewataka kurudisha hela kama mtu amezitumia vinginevyo. Lengo kuu ni kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu bora kutokana na fedha za elimu bure na historia inaonyesha ukerewe inauwezo mkubwa wa kufanya vizuri.

Mongella amezitaka kamati za shule na vikao vya wazazi vifanyike kila robo na visiishie kuchangishana bali wazazi wa elimishwe katika maeneo ya kitaaluma na wote wawajibike na taarifa na ratiba zipelekwe kwa Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella ametoa agizo juu wa ujenzi wa vyoo mashuleni ambapo amesema kufikia mwezi agosti 30 pasiwe na shule yenye upungufu wa matundu ya vyoo, na matundu ya vyoo katika shule yaende sawa na idadi ya wanafunzi na walimu katika shule husika. “bodi ya shule na mkuu wa shule ambaye hatakua amejenga choo itavunjwa” alisema Mongella. Pia amesisitiza bodi za shule na menejimenti za shule zihusike katika ujenzi wa vyoo.

Pia alisikiliza changamoto mbalimbali zinazowakabili katika kupeleka mbale elimu wilayani ukerewe na moja ya changamoto ni migogoro ya ardhi mashuleni hivyo akatoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kuhakikisha wanaanza mara moja upimaji wa ardhi katika shule ili kuepusha migogoro hiyo.

Mongella amewataka maafisa elimu kata wawajibike katika kufuatilia shule zilizopo katika kata yake na kuacha uzembe wa kutokutembelea shule. Wametakiwa kusisimamia mfumo wa elimu kwenye kata na watoto wote wanatakiwa kwenda shule waripoti mashuleni, na ametoa rai kazi kubwa ifanyike yakizalendo na hakuna kitakachotushinda. Amesisitiza elimu ni sekta nyeti tusaidiane tuisukume ili twende mbele na kufikia mafanikio.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 20, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA UDEREVA HALMASHAURI YA WILAYA UKEREWE July 23, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WAKUSANYA MAPATO July 27, 2022
  • TAARIFA YA UTOAJI WA MIKOPO YA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU ROBO YA NNE August 03, 2022
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • Mwenge wa Uhuru wakabidhiwa salama wakabidhiwa salama wilaya ya ILemela .

    July 16, 2023
  • Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Col. Deniss F. Mwila atia saini Mkataba wa utekelezaji wa Afua za Lishe utakaotekelezwa wilaya ya Ukerewe.

    October 28, 2022
  • MAKUBALIANO YA UJENZI WA KIWANDA KIDOGO CHA BARAFU WILAYA YA UKEREWE

    October 09, 2022
  • UZINDUZI WA VITABU VYA MAELEKEZO YA JINSI YA KUBORESHA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI WILAYA YA UKEREWE.

    September 08, 2022
  • Angalia Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI UKEREWE
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • https://www.moe.go.tz/sw/article/tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-ya-ualimu-ngazi-ya-astashahada-ya-ualimu-elimu-ya-awali-msingi-na-stashahada-ya-ualimu-elimu-sekondari-sayansi-miaka-mitatu-kwa-mwaka-wa-masomo-20222023
  • Jiwe linalocheza Wilayani Ukerewe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Necta

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.