• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Ukerewe District Council
Ukerewe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
        • Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
        • Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Utamaduni ,sanaa na michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Maji
    • Uvuvi
    • Kilimo na Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Ongoing Projects
    • Miradi Iliyo kamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Sheria Ndogondogo za Halmashauri
    • Fomu za Maombi
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa kwa Umma
    • Video

TUWE NA UTAMADUNI WA KUPANDA MITI - DC NGUBIAGAI

Posted on: January 28th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Cde.Christopher Ngubiagai amewasihi wanaUkerewe wote kuwa na utamaduni wa kupanda na kutunza miti ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa 27 Januari kila mwaka.

Ameyasema hayo nyakati tofauti akiwa katika eneo la kitalu cha miche ya miti kilichopo Halmashauri na shule ya sekondari Nakoza iliyopo ndani ya kata ya Kagera kijiji cha Kagera ambapo jumla ya miti 500 imepandwa shuleni hapo.

Nae Mkuu wa kitengo cha maliasili na uhifadhi wa mazingira Wilaya ya Ukerewe ndugu Goodluck Mtigandi amesema kwa kushirikiana na wakala wa misitu Tanzania (TFS) -Ukerewe jumla ya miche ya miti 1500 aina ya mikalibea,misila na misadulela imepandwa maeneo mbalimbali ndani ya Wilaya hiyo ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za serikali katika masuala ya utunzaji wa mazingira.

Aidha Cde. Ngubiagai ameongeza kuwa zipo faida nyingi za kupanda na kutunza miti ikiwa ni pamoja na kupambana na mmomonyoko wa ardhi,kuleta mvua, shughuli za ujenzi sambamba na kuzalisha nishati ya kupikia.

James Aloyce ni mhifadhi wa misitu Wilaya ya Ukerewe yeye anasema TFS wataendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabianchi kwa kutoa elimu na miche ya miti bure .

Gabriel Zacharia ni mwanafunzi katika shule ya sekondari Nakoza ameahidi kuwa balozi mzuri wa utunzaji wa mazingira kupitia elimu ya utunzaji wa mazingira waliopata shuleni hapo.

" Naomba wananchi wote tupande miti na kuiitunza,tukumbuke kauli mbiu ya mwaka huu inasema Uzalendo ni kutunza mazingira, shiriki kupanda miti."







Matangazo

  • NAMNA YA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA KUPITIA MFUMO WA TAUSI September 17, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JKT- UKEREWE January 22, 2026
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • TIMU YA MENEJIMENTI YAKAGUA MIRADI

    February 03, 2026
  • DC NGUBIAGAI AWAASA WANANCHI KUTUMIA NJIA HALALI KUTAFUTA HAKI

    February 02, 2026
  • " BARAZA LA MADIWANI NI KIOO CHA UONGOZI KWA WANANCHI " - DC NGUBIAGAI

    January 28, 2026
  • " TUMEWAPOKEA AJIRA MPYA WETU KWA 100% - MKURUGENZI MBUA

    January 29, 2026
  • Angalia Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI UKEREWE
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • https://www.moe.go.tz/sw/article/tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-ya-ualimu-ngazi-ya-astashahada-ya-ualimu-elimu-ya-awali-msingi-na-stashahada-ya-ualimu-elimu-sekondari-sayansi-miaka-mitatu-kwa-mwaka-wa-masomo-20222023
  • Jiwe linalocheza Wilayani Ukerewe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Necta

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.