Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Cde.Christopher E.Ngubiagai anendelea kuhamasisha wananchi wote wa Ukerewe kupitia "UKEREWE MWENGE JOGGING "kujiandaa na kujitokeza kwa wingi kwenye mapokezi ya mwenge wa Uhuru KESHO tarehe 24 Agosti,2025 ambapo Wilaya ya Ukerewe itapokea ki mkoa.
Ukerewe tupo tayari.
KAULI MBIU YA MWENGE WA UHURU MWAKA 2025:
"Jitokeze kushiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa amani na utulivu."
Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.