• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Ukerewe District Council
Ukerewe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
        • Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
        • Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Utamaduni ,sanaa na michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Maji
    • Uvuvi
    • Kilimo na Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Ongoing Projects
    • Miradi Iliyo kamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Sheria Ndogondogo za Halmashauri
    • Fomu za Maombi
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa kwa Umma
    • Video

UTAMBULISHO WA LUNINGA ZA HABARI NA ELIMU KWA UMMA

Posted on: December 9th, 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ukerewe Ndugu Frank S. Bahati amefanya utambulisho wa mradi wa Vituo vya Habari na elimu kwa umma leo katika viwanja vya stand ya zamani Nansio.

Lengo ni kuhabarisha umma taarifa muhimu na sahihi wanazotakiwa kizipata kwa maendeleo yao binafsi na taifa kwa ujumla. 

Luninga hizo zitawekwa katika maeneno mbalimbali ya Wilaya yetu na kwa awamu ya kwanza zitawekwa katika maeneo 6 ya mji wa Nansio, wananchi watapata fursa yakutazama luninga hizo bila gharama Yoyote kwa kipindi cha mwaka mmoja. Luninga hazo zitakua chini ya uangalizi wa Halmashauri, alisema Bahati.

Luninga hizo zimepatikana kupitia juhudi za Mkurugenzi Myendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Frank S.Bahati alizopewa yeye na waandishi wa habari wasio na mipaka duniani nae akaona vema kuzitoa kwa wananchi. 

Mhe. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe George Nyamaha akiwa ameambatana na waheshimiwa madiwani amepongeza juhudi hizo na kuwataka wanaukerewe kuupokea na kuutunza pindi utakapozinduliwa Rasmi.

Zoezi la utambulishaji wa luninga hizo za vitro vya habari, elimu na mawasiliano kwa umma limeenda sambamba na urushaji mubashara(live) wa maadhimisho ya 56 ya Uhuru wa Tanzania katika viwanja vya stand ya zamani ambapo wengi walijitokeza kuatilia matukio yaliyojiri moja kwa moja kutoka Dodoma viwanja vya Jamhuri.


Matangazo

  • NAMNA YA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA KUPITIA MFUMO WA TAUSI September 17, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JKT- UKEREWE January 22, 2026
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • DC NGUBIAGAI ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA MILIONI 9O6.9

    January 19, 2026
  • MFUMO WA SIS KUONGEZA UFANISI SHULENI

    January 14, 2026
  • WANAFUNZI WASIZUILIWE KUJIUNGA NA SHULE KWA KUKOSA MAHITAJI

    January 08, 2026
  • UKEREWE DC YAZIDI KUJIDHATITI UTUNZAJI WA MAZINGIRA

    January 06, 2026
  • Angalia Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI UKEREWE
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • https://www.moe.go.tz/sw/article/tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-ya-ualimu-ngazi-ya-astashahada-ya-ualimu-elimu-ya-awali-msingi-na-stashahada-ya-ualimu-elimu-sekondari-sayansi-miaka-mitatu-kwa-mwaka-wa-masomo-20222023
  • Jiwe linalocheza Wilayani Ukerewe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Necta

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.