" WANANCHI MJITOKEZE KWA WINGI KWENYE MIKUTANO YA KAMPENI ZA WAGOMBEA MSIKILIZE HOJA ZAO MFANYE MAAMUZI SAHIHI YA KUPIGA KURA 29 OKTOBA ,2025 KUWACHAGUA VIONGOZI MNAOWATAKA ." - DC NGUBIAGAI
Ameyasema hayo alipoongoza mbio maalum za Ukerewe jogging na mazoezi ya viungo kwa watumishi wa umma na wananchi wa Ukerewe leo Septemba 27 ,2025 mbio zilizoanzia Bomani kata ya Nkilizya hadi kijiji cha Bulamba kilichopo kata ya Bukindo.
KURA YAKO, HAKI YAKO, JITOKEZE KUPIGA KURA.
Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.