• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Ukerewe District Council
Ukerewe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Rasilimali Watu
      • Fedha na Biashara
        • Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
        • Ustawi wa Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ufugaji Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Utamaduni ,sanaa na michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Maji
    • Uvuvi
    • Kilimo na Umwagiliaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Ongoing Projects
    • Miradi Iliyo kamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Sheria Ndogondogo za Halmashauri
    • Fomu za Maombi
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba za Viongozi
    • Taarifa kwa Umma
    • Video

ZOEZI LA UOKOAJI LINAENDELEA KATIKA MELI YA MV. NYERERE.

Posted on: September 21st, 2018

Zoezi la uokoaji wa miili iliyozama katika meli ya Mv. Nyerere katika kisiwa cha Ukara linaendelea ambapo mpaka asubuhi ya leo ambapo Mhe. Mhandisi Isack Kamwelwe Waziri wa Uchukuzi Ujenzi na Mawasiliano (MB) anawasili eneo la tukio kuna watu takribani 75 walikuwa wamekwisha okolewa wakiwa wamekufa.

Zoezi la uokoaji linaendelea kufanyika kwa kusaidiana na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Mwanza na Mkoa wa Mara, Jeshi la Wananchi wa Tanzania, wapigambizi mbali mbali toka mkoa wa mwanza, kwa kushirikiana na Kamanda Wa Polisi Tanzania IGP Simon Sirro.

Taratibu za kimila na zakidini zitafutwa katika kuwasitiri waliofariki kwana msiba huu ni wa kitaifa, hivyo nawaomba wananchi waendelee kuwa wavumilivu na kuanza kuja kuwatambua ndugu zao. Na viongozi mbali mbali wanaendelea kuwasili na kuongeza nguvu katika kusaidia uokoaji  Waziri mwenye dhaman ya kamati ya Maafa  Mhe. Jenista Muhagama. Maiti nyingi zimejulikana na baada ya muda mfupi miili itaanza kutambuliwa na ndugu zao, Alisema Kamwelwe.

Meneja wa TAMESA Mkoa wa Mwanza Eng.  Hassan Kalonda ameeleza kuwa Meli hiyo inauwezo wa kubeba uzito wa Tani 25 na ameeleza kuwa wafanyakazi wa kivuko waliokuwepo melini walikua nane (8), na watatu wameokolewa wakiwa wazima na watano wanahofiwa kufariki. Watano hao wanaotajwa kufariki ni Abel Mahatane Nahodha, Agustino Cherehani Fundi, Emmanuel Shinga Karani, Blastus Bundala Mkuu wa Feri na Mathias Thomas Mlinzi.

IGP Simoni Sirro amewataka wananchi kuendelea kuwa watulivu katika shughuli zinazoendelea za uokoaji na amewataka kutojaribu kufanya matukio yakihalifu kwani jeshi la polisi limejipanda na linahakikisha ulinzi unaimarika muda wote.

Miili yote ya wananchi iliyookolewa imehifadhiwa katika kituo cha afya Bwisya kisiwa cha Ukara. Na zoezi la uokoaji linaendelea.

Matangazo

  • NAMNA YA KUOMBA LESENI ZA BIASHARA KUPITIA MFUMO WA TAUSI September 17, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JKT- UKEREWE January 22, 2026
  • Angalia Zaidi

Habari Mpya

  • DC NGUBIAGAI ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO YENYE THAMANI YA MILIONI 9O6.9

    January 19, 2026
  • MFUMO WA SIS KUONGEZA UFANISI SHULENI

    January 14, 2026
  • WANAFUNZI WASIZUILIWE KUJIUNGA NA SHULE KWA KUKOSA MAHITAJI

    January 08, 2026
  • UKEREWE DC YAZIDI KUJIDHATITI UTUNZAJI WA MAZINGIRA

    January 06, 2026
  • Angalia Zaidi

Video

FURSA ZA UWEKEZAJI UKEREWE
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • https://www.moe.go.tz/sw/article/tangazo-la-nafasi-za-mafunzo-ya-ualimu-ngazi-ya-astashahada-ya-ualimu-elimu-ya-awali-msingi-na-stashahada-ya-ualimu-elimu-sekondari-sayansi-miaka-mitatu-kwa-mwaka-wa-masomo-20222023
  • Jiwe linalocheza Wilayani Ukerewe
  • Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe

Tovuti Mashuhuri

  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Necta

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

freevisitorcounters's Website

Location Map

Wasiliana nasi

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.