Karibu Katika Tovuti Rasmi ya Wilaya ya Ukerewe
Wilaya ya Ukerewe ni moja kati ya Wilaya Nane za Mkoa wa Mwanza, Makao makuu ambapo Halmashauri ya Wilaya ipo ni Nansio.Wilaya ya Ukerewe ni Wilaya iliyozungukwa na maji ya ziwa Victoria ambapo ina ukubwa km2 6,400 ambazo ni maji na nchi kavu, na kwa nchi kavu pekee ni km2 640. Wakazi wa Ukerewe wanajishughulisha na shughuli mbali mbali za kiuchumi kubwa zikiwa Uvuvi, kilimo na biashara.
Kupitia Tovuti hii utapata kujua shughuli zote zinanzofanywa na Wilaya pamoja na huduma zinazotolewa ikiwemo leseni za biashara, hati za viwanja.
Wote Mnakaribishwa!
Copyright ©2022 Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe . All rights reserved.