Posted on: January 23rd, 2018
Ziara ya Mhe. Kangi Lugola tarehe 23/01/2018 Wilayani Ukerewe Kutembelea na kukagua mradi wa ufugaji wa samaki kwenye mabwawa kwa kutumia nguvu ya umeme wa jua. Mradi huo utekelezaji wake umefanyika k...
Posted on: January 13th, 2018
Mhe. Luaga Mpina, Waziri wa Kilimo na Uvuvi ametangaza vita dhidi ya uvuvi wa kutumia zana haramu zisizokubalika katika viwango vya uvuvi bora. Amesema hayo wakati alipokuwa kata ya Kakukuru...
Posted on: November 29th, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mhe. Estominh Chang'ah leo amezindua zoezi la upigaji dawa katika mazalia ya Mbu ambao ndio chanzo kikuu cha ugonjwa wa malaria. Uzinduzi huo umefanyika Kata ya Kagera,kitong...