Posted on: July 7th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amefanya ziara ya siku moja katika kisiwa cha Ukara Wilayani Ukerewe lengo likiwa kukagua maendeleo katika sekta ya afya na elimu.katika ziara hiyo ametembele...
Posted on: June 12th, 2019
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe limefanya vikao vyake vya kisheria ambapo limeketi kuanzia tarehe 11-12 juni. Baraza la Madiwani la Halmashauri linaloongozwa na Mwenyekiti wa Ha...
Posted on: June 3rd, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Cornel B. Magembe azindua rasmi ugawaji wa vitambulisho vya matibabu bure kwa wazee katika wilaya ya Ukerewe. Uzinduzi huo wa vitambulisho vya wazee umefanyika katika kijiji ...