Posted on: July 11th, 2025
Mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF) Ukerewe kupitia mradi wa kunusuru kaya maskini umekamilisha zoezi la uhawilishaji fedha kwa dirisha la kipindi cha Machi - Aprili 2025 ambapo jumla ya kiasi cha shi...
Posted on: July 10th, 2025
Tume ya utumishi wa walimu (TSC) Ukerewe imetoa mafunzo elekezi kwa jumla walimu 131 ajira mpya waliohudhuria mafunzo hayo ambapo walimu 75 ni wa shule za sekondari na 56 shule za msingi ndani ya Wila...
Posted on: July 9th, 2025
Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ndugu Paschal Herman amepokea na kukabidhi jumla ya madawati 374 katika ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ukerewe mradi uliotekelezwa kwa kiasi cha shil...