Posted on: September 11th, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Estomihn Chang’ah amekabidhi Baiskeli 10 za miguu mitatu kwa walemavu wa kutotembea. Baiskeli hizo zimekabidhiwa katika eneo la hospitali ya wilaya Nansio ambapo wanufaika wa...
Posted on: September 9th, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mhe. Estomihn Francis Chang’ah akiwa ameambatana na Meneja SIDO mkoa wa Mwanza Bw. Bakari Songwe na mratibu wa Uwezeshaji Wilaya Bw. Anord Mafuruu wamekutana na wajasiliamali...
Posted on: September 5th, 2017
Shirika ya Bima ya maisha la SANLAM kanda ya ziwa limefanya semina ya siku moja kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe kuhusu huduma ya bima ya maisha inayotolewa na shirika hilo. Shirika h...