Posted on: March 24th, 2018
Siku ya kifua kikuu duniani inaadhimishwa tarehe 24 ya mwezi Machi, ambapo katika wilaya ya Ukerewe siku hiyo imeadhimishwa kwa watukupatiwa elimu juu ya ugonjwa wa kifua kikuu na dalili zake. Zoezi l...
Posted on: March 8th, 2018
Wanawake wa Wilaya ya Ukerewe wametakiwa kujituma na kujishughulisha ilikuweza kujikwamua kiuchumi na kueleta maendeleo kuanzia ngazi ya familia hadi taifa amesema hayo Mwakilishi wa Mkuu wa Wil...
Posted on: March 6th, 2018
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe limepitisha Tsh Bilioni 45,466,478.00 ikiwa ni makadirio ya mapato ya mwaka 2018-2019, fedha hiyo imepitishwa katika kikao cha baraza maalumu la baj...