Posted on: January 13th, 2018
Mhe. Luaga Mpina, Waziri wa Kilimo na Uvuvi ametangaza vita dhidi ya uvuvi wa kutumia zana haramu zisizokubalika katika viwango vya uvuvi bora. Amesema hayo wakati alipokuwa kata ya Kakukuru...
Posted on: November 29th, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Mhe. Estominh Chang'ah leo amezindua zoezi la upigaji dawa katika mazalia ya Mbu ambao ndio chanzo kikuu cha ugonjwa wa malaria. Uzinduzi huo umefanyika Kata ya Kagera,kitong...
Posted on: December 9th, 2017
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Ukerewe Ndugu Frank S. Bahati amefanya utambulisho wa mradi wa Vituo vya Habari na elimu kwa umma leo katika viwanja vya stand ya zamani Nansio.
Lengo ni kuhab...