Posted on: October 21st, 2021
Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango Leo imefanya ziara ya kukagua miradi ya Maendeleo katika kata ya Irugwa iliyopo kisiwani.Miradi iliyotembelewa ni katika sekta ya Elimu na Afya.
M...
Posted on: July 26th, 2021
Bati 96 (gauge 28) zenye thamani ya Tsh 3,270,000/- zimekabidhiwa Shule ya Msingi Rubya kwa ajili ya kuezeka madarasa mawili ambayo yatajengwa na jamii inayozunguka eneo hilo.
Mkuu wa Wil...
Posted on: July 5th, 2021
Wilaya ya Ukerewe leo imepokea Mwenge wa Uhuru na kutoka Wilaya ya Ilemela na umekimbizwa katika Wilaya katika kata zaidi ya nane na kuzindua, kuweka mawe ya msingi na ufunguzi wa Miradi mbalimbali za...