Posted on: June 11th, 2020
Shirika la MAPERECE kwa kushirikiana na AMREF na Hospitali ya Bugando limeendesha mafunzo mahususi kwa mabalozi wa Fistula 37 Wilayani Ukerewe ambapo watoa elimu ngazi ya jamii na watoa tiba za asili ...
Posted on: June 4th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amepongeza Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe kwa kupata HATI SAFI katika Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa fedha 2018/2019. Ametoa pongezi hi...
Posted on: May 31st, 2020
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania leo imetoa hundi ya Tsh 200,000,000/- kwa kikundi cha Ushirika cha BUKASIGA kutimiza malengo yao kwa kujenga kiwanda cha barafu. Shughuli ya makabidhiano ya hundi...