Posted on: May 22nd, 2017
Mamlaka ya mapato nchini imetoa muda hadi kufikia Juni 30, mwaka huu wananchi wote wanaodaiwa kodi ya majengo kuhakikisha wanailipa kodi hiyo ilikuepuka kufikishwa mahakamani na kutozwa faini.
...
Posted on: May 11th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo mbalimbai Wilaya ya Ukerewe na visiwani ambapo ametembelea kisiwa cha Ukara. Hii ni m...
Posted on: May 10th, 2017
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella amefanya ziara ya Siku tano (5) Wilayani Ukerewe kwa dhumuni la kukagua shughuli za Halmashauri na miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezw...